Jumapili, 9 Julai 2017

MAUZO YA ZAO LA KOROSHO YAONGEZEKA ZAIDI NCHINI

Wakulima wa zao la Korosho nchini waneemeka! Ripoti inaonesha wamejipatia zaidi ya shilingi bilioni 800 kutokana na mauzo ya nje ya nchi ya zao hilo katika msimu uliopita.

Ripoti hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Kilimo, Tate Ole Nasha wakati akifungua madhimisho ya siku ya Korosho iliyoadhimishwa katika maonesho ya 41 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba) yanayoendelea.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni